Watu wengi wamekua wakiniuliza ni namna gani mtu anaweza kujenga misuli ya kifua bila ya kubeba vitu vizito, basi leo ntagusia swala hilo na natumae litawasaidia. Kifua kimejengwa na misuli iitwayo pectoralis major ambayo ipo karibu na torso(munganiko wa mabega na mikono). Kikubwa kinachohitajika ni kufanyisha mazoezi yakutanua misuli hyo eidha kwa kutumia vifaa vizito ama mazoezi ya kutumia mwili pekee. Sasa basi leo tutaongelea njia ya kukuza misuli hiyo ya kifua kwa kutumia mwili pekee, na njia hizo ni;
- Pushups za kawaida
Push ups za kawaida uhitaji mtu kusukuma mwili kutoka chini na kuiweka nyuzi tisini(90*), ambapo itakuhitaji ufanye marudio kulingana na idadi utakayo pendelea kufanya. Hili zoezi husaidia kukaza misuli ya kifua na pia kutengeneza muonekano mzuri wa kifua.
- pushups za inklin
Hii ni aina ya pushup inayo muhitaji mtu aweke mikono pahali pajuu palipo inuka kidogo kutoka chini(kama mita moja) nakuweka mikono nyuzi tisini(90*) kutoka pahali ulipoweka viganya vya mikono. Zoezi hili lina kulazimisha kujinyanyua juu na chini, kwa mizunguko kadha(set) kwa idadi(count) unazozitaka...Hili zoezi hugusa kwenye wsala kubwa lakukaza misuli ya mikono(bicep na tricep) na pia kutengeneza kifua cha chini.
- Pushups za muinuko
- Zoezi la kujivuta juu
- Zoezi la kujididimiza
Mazoezi hayo yote huwezekana kufanyika sehemu yoyote pale kwa sababu haitaji uzito wowote ule na pia haikulazimu kuingia GYM ili ufanikishe hilo.
Kwa maoni ama ushauri tafadhali tuandikia chini baada ya andiko hili, na kama umeipenda pia weza kutuandikia.
Tafadhali kwa maswali zaidi usisite kutuandikia ama kutupigia kwa number (0653009477) na pia waweza kutufwalia kwenye mitandao ya kijamii kama vile (Twitter, Instagram na Facebook)
26 comments:
kaka ben sasa haya mazoez unafanya kwa mda gani kuanza kuona mabadiliko.🤔🤔
Mazoezi haya hutegemea na ufanyaji wako, kwa wale wanaotaka kuanza mazoezi wanaweza kuanza na push-ups za kawaida kwanza kwa siku one mpaka sita, ilikuongeza nguvu kwenye mikono kwa mizunguko miwili kwa hesabu ya tano kila mizunguko. Pili waweza kuanza kufanya mazoezi yote kwa mzunguko mmoja kwa hesabu ya tano kwa kila zoezi moja kwa wiki moja na siku mbili. Tatu waweza kuongeza idadi kwa kufanya mizunguko kuwa miwili kwa kila zoezi kwa hesabu za tano kwa kila mizunguko kwa wiki mbili. Pia waweza kuongeza idadi kulingana na uwezo wako wakufanya mazoezi, yaweza kumchukua mtu siku thelathini mpaka arobaini kuona mabadiliko.....
Natumae maelezo haya yamekusaidia ndugu..Chandonya
Kaka mm ninataka kuja kifua Na misuli ya mikono je n pushap ngap kwa siku ambazo zina weza kusaidia kuja kifua kwa urahisi Na muda mfup
Je ukitak kujaz kifua.kwa pusha?
nimeipenda hiyo, uko vema sana kaka
Mm Hupenda Kufanya Mazoez usiku.Je Nisahihi??
Kaka mm Kira bada yasiku mbili napiga 300 mpaka 500 rakini bado sijalizika namapadiliko ninayo yaona kwani naona Kama bado nimadogo sana nishauli niongezee nanini tena
GD
Je, ukifanya yote hayo misuli ya mikono nayo hupanuka au ni chest pekee?
kwaiyo inatkiw kufanya mal ngap kwa siku
Mm nataka kupasua kifua
Nataka kupasua kifua
Aanh upo vizr kaka, wacha tufanyie kazi
Clamency
nenda muimbili
Saf sana nimeipenda hiyi
Karibu sana
Hahahahaha
Mimi nashauri utoe elimu pia ta kurudisha kifua kilicho jaa kiwe cha kawaida.
Kaka nakama KIFUA chako kina manyama Sana hasa Kwa MTU mnene kiasi ...pushap xinaweza saidia kuxikaza nyama za kifua
Ahsante vp kuhusu squat
Kaka je una mshaura nn MTU anayetaka kutengeneza kifua kwa haraka aende gym au afanye workout tu nyumbn na pia VIP kuhusu powder wanayotumia watu wanofanya mazoez
Mtu anayetaka kujenga misuli anaweza Jenga mahala popote Ila atabidi apate mwalimu mzuri na pia mazingira na vifaa muhimu kujenga misuli
Ukiangalia vizuri kwenye site yetu utaona Kuna chapisho juu ya mazoezi ya miguu ambayo yatakufaa Sana
Push-up tu haitoshi Bali pia mazoezi ya kupunguza mwili Kama kukimbia ni muhimu
Shukrani kwa mchango wako
Chapisha Maoni