latest Post

KUPUNGUZA UZITO KWA MAJI YA BARIDI



Watu wengi katika jamii hupendelea kuoga na maji ya moto katika majira yote ya hewa lakini kutokana na utafiti uliofanywa na wanasayansi kama Dr JAMES MERCER unaonyesha umuhimu mkubwa wa watu kubadili dhana na tamaduni hii hasa kwa kipindi hichi kutokana na wimbi kubwa la watu wenye shida kubwa ya kuongezeka uzito

Maji ya baridi yanamsaada mkubwa sana hasa kwenye kupunguza uzito wa mwili, kutokana na homoni ya Adipocine ambayo kazi yake kubwa ya kukabiliana na changamoto inayosababishwa na homini ya insuline kutosambazawa kwa kiwango kicho wiana na sahihi mwilini(insuline resistance) ambayo ndio sababu kubwa la ongezeko la uzito mkubwa katia jamii.

Mbali na hivyo maji ya baridi yanamsaada mkubwa sana kwenye kuhimarisha afya ya mwili kiujumla na zifwatazo ni baadhi ya faida zake zingine



  • Husaidia kuhimarisha afya ya ini; kulingana na tafiti za kisayansi zinaonyesha  kwamba kuoga na maji ya baridi kunasaidia kuboresha usambazaji wa damu mwilini pamoja na enzyme(kemikali ya mwili) na hivyo kusaidia kupunguza majeraha yatokanayo na sumu za mwili na pia kukinga ini mbali madhara mengineyo yanayoweza kusababishwa na sumu na kemikali za vyakula.


  • Husaidia kuongeza kinga ya mwili; kwa kuoga na maji ya maridi mwili husaidia kusisimua seli za mwili kili kuwezesha uzalishaji wa seli za kinga ambazo ni muhimu sana katika kuhimarisha afya ya mwili  pamoja kuukinga mwili mbali na magonjwa

  • Husaidia kuleta hali ya uchangamfuu mwilini; watu wenye hali ya kutokuwa na hamsa na hari ya kufanya kazi wanaweza badili hali hiyo kwa kuoga na maji ya baridi maana kwa kuoga na maji unalazimisha mwili kutetemesha mwili na kisha kutumia nguvu ya vyakula iliyojihifadhi kama mafuta na hivyo kuupa mwili nguvu


  • Husaidia kuhimarisha afya ya moyo pamoja kuponyesha majeraha ya mwili kwa haraka; pale mtu anapooga maji ya baridi hulazimisha mwili kuzalisha homoni iitwayo norepinephrine ambayo husaidia kuongeza uwezo wa ufanyaji kazi na ufanisi wa moyo. Pia kwa kuoga maji ya baridi husaidia kupunguza na hata kuponyesha majeraha pamoja na maumivu ya misuli ambayo mtu anaweza kupata kutokana na shughuli nzito na hata pia mazoezi.

  • Husaidia kuimarisha misuli ya uume;kwa wale wanaume wenye umme wenye misuli milegevu wanaweza kuhimarisha misuli hiyo kwa kuongeza kiwango cha damu kinachoingia kwenye uume hivyo kuufanya uwe na nguvu na himara

KWA MAWASILIANO ZAID TAFADHALI BONYEZA HAPO👇


Kwa number yetu ya Tigo +255 653 009 477  

Instagram account yetu  (KUAFITI), Facebook-(kuafit) na twitter-(kuafit)


About Kuafit

Kuafit
Recommended Posts × +

0 comments:

KUPUNGUZA UZITO KWA MAJI YA BARIDI

Watu wengi katika jamii hupendelea kuoga na maji ya moto katika majira yote ya hewa lakini kutokana na utafiti uliofanywa na wanasayansi kam...