latest Post

VYANZO VIKUU VINAVYO PUNGUZA NGUVU ZA KIUME


Ni kweli kua wanaume wengi hupenda kua wafalme na hodri kumridhisha mwanamke wake kitandandani kwa kusifiwa kwa kuyajua mambo,  na mara nyingi sana hua ina udhi pale unapo shindwa kufikia kiwango kile ambacho unachotaka kufika. Basi kama wewe ni mwanaume na  matatizo hayo yamekupata na usingependa yakupate basi jarida hili nilakwako.
(KUPTA TAARIFA HIZI NA NYINGINE KWA HARAKA SUBSCRIBE KWENYE KITUFE HAPO JUU!!)
Kwanza kabisa inatupasa kujua kua uzalishaji wa mbegu za kiume na uhimara wa Jogoo kupanda mtungi umepungua, utafiti unaonesha kua asilimia 15% wapenzi duniani hushindwa kupata watoto na alsilimia arobalini 40% ni wanaume wenye matatizo. Hakuna mtu anyapenda kunyanyasika kutokana na maudhi hayo, na sio kila mtu amezaliwa na matatizo hayo bali mengine huja kwakutokujali afya azetu za kila siku. Matatizo hayo yaja kwa kujitakia na pia kwa kuto kujua, basi kwa wale wange penda kujua vyanzo vikuu ni vipi  soma hapo chini

Hivi ndio vyanzo vikubwa
  • Mangonjwa -kama vile presha ya kupanda na kisukari uhathiri sana uzalishaji wa mbegu na pia hupunguza nguvu za kiume kwa asllimia10%

  • Matumizi mengi ya plastic hasa kuwekea vyakula hupunguza uzalishaji wa homoni ya estrogen(ya uzalishaji mbegu)

  • Matibabu ya kutumia mionzi(radio therapy), mionzi uathiri sana nguvu kiume hasa pale unapotumika kwa wingi

  • Pain killer za optoid vidonge vinavyo tibu maumivu sugu hua na madhara endapo zitatumika kabla ya tendo hilo maana uhadhiri sana mishipa ya ufahamu kwa utafiti uliofanywa na (Richard mich)

  • Vyakula vyakukaanga na nyama nyekundu kwa wingi kama vile(ngombe) maana ina cholesteol kubwa ambayo yaweza kusababisha matatizo ya moyo

  • Uvutaji wa sigara na vilevi na unywaji  wa pombe kali., sigara hua na nicotine ambayo hupunguza uzalishaji wa mbegu za kiume

  • Majeraha kwenye sehemu za nyonga kutokana na ajali kubwa mara nyingine hua chanzo kikubwa na hupunguza nguvu za kiume 

  • Fetma(obesity) kunenepa kupita kiasi, watu wanaokula kupita kiasi usadikika kua wanahatihati ya kushindwa kufanya vizuri kitandani kutokana na mafuta mengi kuja kwenye mkondo wa damu(atherosclerosis-cholestrol) hivyo kufanya mzunguko wa damu kua mgumu.

  • Matatizo ya usingiza pamoja na msongamano wa mawazo hupunguzahamu ya tendo lenyewe kwa kua mawazo hayapo kwenye sehemu husika.
Kwakujua hayo ni vyema kujikinga na matatizo hayo ya uzazi na pia kusambaza ujumbe huu kwa watu wako wote wa karibu. kwa wale watakao penda kujua ufumbuzi wa swala hili basi kaa chonjo maana andiko lijalo litazungumzia swala hili.
Kwa maswali na maoni tafadhali tuandikie chini ya andiko hili!

About benson godfrey

benson godfrey
Recommended Posts × +

DIET YA KUTOA SUMU MWILINI NA KUPUNGUZA UNENE KWA HARAKA

Habari zenu wadau wa KUAFIT! leo tutaongelea kuhusiana na elimu ya lishe ambayo itahusiana na diet ambapo tutaelezea mambo mengi san...