latest Post

JINSI YA KUPUNGUZA NYAMA UZEMBE

Watu wengi wananiuliza je! ni jinsi gani mtu unaweza kupunguza nyama uzembe !?
Ndio inawezekana! njia zipo mbalimbali za kupunguza  kwanza unapaswa kujua sababu kuu yakupta manyama uzembe. Njia kuu ya kupata mwili wa namna hyo ni kama ifwatavyo

  1. kula kupita kiasi
  2. kula vyakula vyenye mafuta mengi.
  3.  kunywa vinywaji vyenyekaloie kubwa kama vile (soda na bia)
  4. kula nyama nyekundu kama nyama za ( ngombe na ngurue)
  5. kutokufanya mazoezi mara kwa mara na pia kuto kupenda kujishughulisha.
Njia kuu yakuweza kurudisha mwili wako katika njia sahihi ni
  • kunywa maji mengi 
  • kutumia dakika zisizo chini ya arobaini kufanya zoezi kama( kutembea pahali parefu ama kukimbia)
  • kupunguza kula vyakula visivyo na ulazima( kula baada ya chakula cha usiku).
  • kupunguza kula vyeakula vyenye calorie nyingi na pia vyenye protini, wanga na pia mafuta
  • kula kwa wakati sahihi, usile ilimradi.
  • napia penda kutazama afya yako mara kwa mara ilikujua maendeleo yako.

About Kuafit

Kuafit
Recommended Posts × +

0 comments:

KUPUNGUZA UZITO KWA MAJI YA BARIDI

Watu wengi katika jamii hupendelea kuoga na maji ya moto katika majira yote ya hewa lakini kutokana na utafiti uliofanywa na wanasayansi kam...