latest Post

JE WAJUA!!! MIKUNJO KWENYE KIUNO UKISIMAMA YAWEZA KUA UGONJWA

Watu wengi hua wanadhani kunjikunja kwa kiuno iwe kwa mbele(Posterior pelvic tilta) au nyuma(Anterio pelvic tilt) hali hizi hutegenezeka pale misuli ya tumbo(rectus abdominis) inapo nyooka kuliko inavyo paswa na hvyo kupishana na misuli ya nyonga (hip reflexer muscle)
ni jambo la kawaida ama mda mwingine hudhani mtu huzaliwa na hyo hali, dhahania hyo sio kweli bali wengi hutengeneza hali hyo kwa mambo mengi
Mambo yanayoweza pelekea matatizo hayo ni 
  • ukaaji mbaya(kukaa kwa kujikunja mbele au nyuma) 
  • usimamaji mbaya(kusimama kwa kujikunja mbele au nyuma)
  • kutokufanya mazoezi ya kujinyoosha viungo
Mambo yakufanya ilikutoa hiyo hali
  • hakikisha unafanya mazoezi kila siku yakujinyoosha viungo
  • na pia unapata ushauri zaidi kutoka kwa daktari ama mwalimu wa mazoezi

About benson godfrey

benson godfrey
Recommended Posts × +

DIET YA KUTOA SUMU MWILINI NA KUPUNGUZA UNENE KWA HARAKA

Habari zenu wadau wa KUAFIT! leo tutaongelea kuhusiana na elimu ya lishe ambayo itahusiana na diet ambapo tutaelezea mambo mengi san...