latest Post

JUISI YA TUNDA ASILI INAYOTIBU TATIZO LA NGUVU ZA KIUME


Ni kweli kabisa kuwa wanaume wengi hua wanapenda kujenga heshima na kuonekana bora kuliko mwanaume yeyote kwenye maswala ya chumbani. Lakini tatizo la upungufu wa nguvu za kiume ni janga ambalo hukumba asilimia kubwa ya wanaume duniani, na madhara yake hupelekea hadi kuvunja  mahusiano baina yao na wapenzi wao.

Basi leo nitaongelea tunda la BEET na juice yake, pia ntagusia umuhimu wa tunda hilo kwa mwili wa mwanaume. Tunda la beet ni tunda ambalo lina patikana sana katika jamii mbalimbali duniani, na pia watu hutumia tunda hilo kwenye kupika vyakula. Ingawa wengi hutumia kwa matumizi mengine lakini kwa utafiti usio rasmi pia tunda hili lina mchango mkubwa kwenye kuongeza nguvu za kiume. Na inashahuriwa kwa watu wote kutumia ikiwezekana angalau mara tatu kwa wiki juisi ya tunda hili hasa kwa wenye matatizo ya nguvu za kiume .
Faida ya tunda hili la beet  ni kama ifwatavyo..
  • Hongeza mzunguko wa damu
Kutokana na utafiti wa mwaka 2015 utafiti unaonesha kuwa juisi ya tunda la beet huchangia kushuka kwa presha ya mwili kwa kuwa na uwingi wa naitrat. Utafiti hua pia unaonyesha kupungua kwa nguvu za kiume hutokana hasa kwa presha ya kupanda ya mwili. Hivyo basi ni juisi ya beet hua kichochezi kikubwa cha kuongeza mzunguko wa damu kwenye sehemu ya uzazi,  na hivyo basi kumwezesha mwanaume kuwa rijali tena kwa kupandisha presha ya damu.


  •  Huongeza fiber mwilini

Fiber ni aina ya virutubisho mwilini , virutubisho hivyo ni muhimu sana katika mwili wa mwanadamu ambavyo husaidia katika kupunguza mafuta ya mwili  yasio hitajika. Hivyo kwa glasi ya juisi ya tunda la beet basi unauwezekano mkubwa wa kupunguza mafuta ya mwili(choletrol)  • Hutokomeza seli za kansa ya kizazi
Kutokana na utafiti usio rasmi ni kwamba tunda hili la beet husaidia kuttokomeza seli za kansa. Kansa ya kizazi usababishwa kwa seli za kansa zinazo shambulia sehemu za siri na hivyo kusababisha mwili kudhurika na hata kusababisha kifo.  • Huongeza  virutubisho na madini mbalimbali muhimu
 Juisi ya beet pia imejaliwa kwa virutubisho mbalimbali vya mwili ambavyo husaidia mwili katika kufanya kazi vizuri. virutubisho hvyo ni kama vile madini ya chuma na potasium. Bais kutokana na hayo madaktari wengi huwashauri watu wengi kunywa juisi ya beet pindi wapatapo nafasi.
  • Huchangia kuwa na ngozi yenye afya
Kutokana na upatikanaji wa vitamini C na madini mengine, basi juisi ya beet huchangia ngozi ya mtu kuonekana imara na yenye afya.Basi ni wazi kuwa tunda hili la beet lina faidi nyingi sana kwenye kuongeza nguvu za kiume na pia kujenga afya ya mwili. Na kutokana na idadi ya wengi waliotumia utafiti unaonesha asilimia 68% wameona mabadiliko na wanafurahia mahusiano yao kwa sasa.

Kama umelipenda andiko hili basi gonga NZURI  na  kwa maswali na maoni basi tuandikie baada ya andiko hili, na pia kama ungependa maandiko mengine kama haya basi jisajili kwa kuweka anuani yako juu kwenye linki ya KUJISAJILI

About benson godfrey

benson godfrey
Recommended Posts × +

DIET YA KUTOA SUMU MWILINI NA KUPUNGUZA UNENE KWA HARAKA

Habari zenu wadau wa KUAFIT! leo tutaongelea kuhusiana na elimu ya lishe ambayo itahusiana na diet ambapo tutaelezea mambo mengi san...