latest Post

NJIA 2(MBILI) ZA UKAZAJI WA MAZIWA KWA WANAWAKE

    Kutokana na utafiti uliofanywa na kampuni za mitandao kama vile google na yahoo kwenye maswala ya afya yanayohusiana na wanawake  imebainika kuwa kumekuwa na ongezeko la asilimia 70%  ya watu wakitaka kujua njia ya kuweza kukaza maziwa yaliyo sinjyaa kulingana na rekodi ya kutoka mwaka 2001 mpaka 2017. Ni kweli usio pingika ya kwamba maziwa ya mwanamke ni moja wapo ya kivutio chake kwa jinsia ya pili (mwanaume), hivyo kusinyaa kwa maziwa ya mwanamke hupunguza mvuto na pia kwa mara nyingine huondoa kujiamini kwake.
   Utafiti unaonyesha ya kwamaba kuna njia kuu mbili za kuweza kukaza maziwa ya mwanamke bila kuhitaji oparetion ambazo ni  maozezi na massage kwa kutumia bidhaa asilia.


Mazoezi

 • Pushups
Pushups ni moja wapo ya mazoezi muhimu sana ukitazamia kupata mabadiliko  mazuri kwa maana hugusa kifua na tumbo bila kusahau mikono na uzuri wake ni kwamaba zoezi hili haliihitaji vifaa zaidi ya uzito wa mwili wako. Push ups za kawaida uhitaji mtu kusukuma mwili kutoka chini na kuiweka nyuzi tisini(90*), ambapo itakuhitaji ufanye marudio kulingana na idadi utakayo pendelea kufanya. Hili zoezi husaidia kukaza misuli ya kifua na tumbo, pia kutengeneza muonekano mzuri wa kifua. • T-plank
T-plank ni zoezi lisilohitaji vifaa vingi zaidi ya mdumbell au mtu anaweza kutumia uzito wake mwenyewe ili kufanikisha zoezi hili. Zoezi hili humuhitaji mtu kukaa mkao wa pushup kama livyo elezewa awali na pili mtu anapaswa kweka eidha kiwiko ama mkono mmoja chini na kuunyanyua mkono mwingine juu eidha kwa kuttotumia uzito ama kwa kutumia uzito na mtu anapswa kufanya hivyo kwa kila upande, miguu yaweza kupishana kidogo ama kunyooka kama ilivyoonekanan kwenye picha hapo juu. zoezi hili hukaza kifua, tumbo na mikono pia.

Massage kwa kutumia bidhaa asilia

Massage ya maziwa hutumia bidha kama vile Olive oil, Matango na kiini cha Yai ambazo upatikanaji wake ni mrahisi  kwenye jamii zetu

 • Mafuta ya Olive 
Olive ni mafuta yenye virutubisho vilivyo antioxidant ambvyo husaidia kukaza maziwa yaliyolala, mafuta hayo hutumika kwa kufwata maelekezo yafwatayo.

 1.  Kwanza miminia mafuta yako mkononi na kisha sugua kwa mikono yako miwili mpaka joto litengenezeke
 2. Anza kukanda maziwa kwa kutokea chini ya ziwa kuelekea juu kwa mdaa wa dakika 15
 3. fanya hivyo kwa kipindi cha wiki 3 mpaka  wiki 4
baada ya mdaa wa wiki nne mtu ataweza kuona mabadiliko mazuri akizingatia maelekezo.

 • Matango na kiini cha yai
Matango ufahamika sana kwa virutubisho vyake kama vile lutein na carotene amabazo ni muhimu sana ikichanganya na kiini cha yai kwenye kusaidi  kukaza maziwa ya mwanamke. mchanganyiko huu unaweza kufanyika kwa kufwata masharti yafwatayo

 1. Weka tango lenye ukubwa wa wastani kwenye  mashine ya kusagia matunda(belender) na kisha changanyia ini la yai pamoja na kiwango cha kijiko kidogo cha mafuta yoyote asilia kama vile olive ama aloevera.
 2. saga mchanganyiko huo na kisha upake ukiwa una kanda maziwa kwa mda wa dakika 2 na kisha acha kwa mda wa dakika 30.
 3. Osha kwa maji ya baridi mpaka mchanganyiko huo utoke.
 4. Fanya zoezi hilo mara mbili kwa wiki ya kwanza na kisha mara moja moja kwa wiki zinazo fwata 
Mtu atakayefwata maelekezo hayo antaweza kuona mabadiliko kwa mdaa wa wiki 6 hadi 7. 

Kama umeipenda andiko hili basi gonga NZURI  na  kwa maswali na maoni zaidi basi tuandikie baada ya andiko hili, na pia kama ungependa kusoma andiko jengine kama hili basi jisajili kwa kuweka anuani yako  kwenye linki ya SUBSCRIBE.
Pia waweza tuandikia kwa email yetu Kuafit08@gmail.com
Kwa number yetu ya Tigo +255653009477
Instagram account yetu  (KUAFITI), Facebook-(kuafit),

 twitter-(kuafit) 
About benson godfrey

benson godfrey
Recommended Posts × +

DIET YA KUTOA SUMU MWILINI NA KUPUNGUZA UNENE KWA HARAKA

Habari zenu wadau wa KUAFIT! leo tutaongelea kuhusiana na elimu ya lishe ambayo itahusiana na diet ambapo tutaelezea mambo mengi san...