latest Post

JE WAJUA AINA KUU TATU ZA PUSHUPS?


Karibu tena katika blog yako  mahususi kwa ajili ya mazoezi na afya  kuafit.com , siku ya leo ningependa kuzungumza nanyi kuhusu Pushups wengi wenu mnafahamu pushup lakini je mnajua kuna aina ngapi za pushups?. Kwa faida ya wengi Pushups ni aina ya mazoezi ambayo hutumia mikono kujinua au kujisukuma kutoka usawa wa mikono na hufanywa pale mwili unapo wekwa kwenye mkao wa plunk (plunk position) mwili unapo lemea mikono.
mazoezi haya ya pushup hutofautiana na malengo ya ,tu binafsi kulingana na mabadiliko anayo yahitaji kwenye mwili wake.
wanamazoezi wengi hukubaliana kua kuna pushups kuu tatu za msingi kulingana na jinsi mikono inapowekwa  kulingana na usawa wakifua, anina hizo ni

  1. Kawaida (regular) - hii ni aina ya pushup ambapo mikono huwekwa usawa wa kifua na husaidia kuvuta kifua mbele .
  2. Mikono tanuko(wide arm) - hii ni aina ya pushup ambapo mikono hutanuka pembeni mbali na usawa wa kifua, husaidia kukitanua kifua pembezoni mwa frame ya mwili
  3. diamond(diamond) - hii ni aina ya pushups ambayo hutokana na viganja vya mikono kukaaa pamoja, hii pushup husaidia kukikata kifua katikati na kukichanua

Hizi aina kuu tatu za pushups huweza tumika na watu wanaoanza mazoezi kwa kufanya pushups chache hadi kujenga misuli himara. Na pia zote hizo huchangia tofauti utanukaji wa misuli na pia muonekano wa mtu binafsi INGAWA kunaina kumi na sita zingine

Kama umeipenda andiko hili basi gonga NZURI  na  kwa maswali au maoni zaidi basi tuandikie baada ya andiko hili, na pia kama ungependa kusoma andiko jengine kama hili basi jisajili kwa kuweka anuani yako  kwenye linki ya SUBSCRIBE.
Pia waweza tuandikia kwa email yetu Kuafit08@gmail.com 
Kwa number yetu ya Tigo +255 653 009 477  
Instagram account yetu  (KUAFITI), Facebook-(kuafit) na twitter-(kuafit)

About benson godfrey

benson godfrey
Recommended Posts × +

DIET YA KUTOA SUMU MWILINI NA KUPUNGUZA UNENE KWA HARAKA

Habari zenu wadau wa KUAFIT! leo tutaongelea kuhusiana na elimu ya lishe ambayo itahusiana na diet ambapo tutaelezea mambo mengi san...