latest Post

NAMNA PEKEE YA KUPUNGUZA TUMBO AU KITAMBI NDANI YA WIKI 3


Watu wengi hutamani kupunguza uzito unaosababishwa na utapia mlo nakuto kua na mda wakufanya mazoezi mara kwa mara, na pia utafiti unaonesha kua kupunguza kitambi na  mafuta kwenye mwili ni jambo linalo leta changamoto kwa sababu watu wengi wanadai ni gumu.
Kutokana na utafiti uliofanywa na wataalamu wa nutrition(milo) ni kua jambo hilo lina wezekana kwa kutumia njia za asili ya matunda na chai, diet hio hutumika ndani ya week tatu ambapo matokeo yake ni rahisi kuonekana.


Fuata Maelekezo yafuatayo

  • saa mbili asubuhi (08:00)am- kunywa maji ya vuguvugu + juice ya limao
  • saa nne asubuhi(10:00) am - kunywa glass moja ya maji+juice ya chungwa (ama) ya apple
  • saa sita mchana(12:00)am - kunywa kikombe kimoja chai ya green tea
  • saa saba mchana(01:00)pm - maji ya baridi  + juice ya carrot
  • saa tisa mchana(03:00)pm - kikombe kimoja cha chai 
  • saa kumi na moja alasiri(05:00)pm - kunywa juice yoyote ya matunda asili.
  • saa moja jioni(07:00)pm - kunywa kikombe kimoja cha green tea
  • saa tatu jioni(09:00)pm - kunywa glass moja ya maji + juice ya mizabibu
  • saa nne usiku(10:00)pm - kunywa maji ya vuguvugu + juice ya limao
kumbuka! vinywaji vyote viwe vimetengenezwa kutoka kwenye matunda asilia na pili sukari isiongezwe kwenye Diet. Diet hii itumike mara tatu kwa wiki moja.

Kama umeipenda andiko hili basi gonga NZURI  na  kwa maswali au maoni zaidi basi tuandikie baada ya andiko hili, na pia kama ungependa kusoma andiko jengine kama hili basi jisajili kwa kuweka anuani yako  kwenye linki ya SUBSCRIBE.
 
Pia waweza tuandikia kwa email yetu Kuafit08@gmail.com

Kwa number yetu ya Tigo +255653009477

Instagram account yetu  (KUAFITI), Facebook-(kuafit) na twitter-(kuafit)


 

About benson godfrey

benson godfrey
Recommended Posts × +

DIET YA KUTOA SUMU MWILINI NA KUPUNGUZA UNENE KWA HARAKA

Habari zenu wadau wa KUAFIT! leo tutaongelea kuhusiana na elimu ya lishe ambayo itahusiana na diet ambapo tutaelezea mambo mengi san...