latest Post

DIET YA KUTOA SUMU MWILINI NA KUPUNGUZA UNENE KWA HARAKAHabari zenu wadau wa KUAFIT! leo tutaongelea kuhusiana na elimu ya lishe ambayo itahusiana na diet ambapo tutaelezea mambo mengi sana hivyo kaa nasi kwanzia mwanzo mpaka mwisho.
Kwanza ni vyema ufahamu kwamba Chakula ni muhimu kwa mwanadamu, mwili hauwezi kuwa na nguvu ya kufanya jambo bila ya kula. Kutokana na umuhimu wa chakula watu wengi hudhani kula chakula ilimradi chakula ni sawa na hivyo kuwapelekea kula vyakula vinanyoweza kuhatarisha afya ya miili yao. Kutokana na sababu hiyo basi elimu juu ya lishe inahitajika sana katika jamii yetu.

Magonjwa yasiyo ya ambukizwa (NCD's) yamekuwa ni janga la jamii ambapo huchangiwa na ulaji mbovu pia kutokufanya  mazoezi.Matatizo ya utapia mlo na magonjwa kama vile (KISUKARI, PRESHA NA MAGONJWA YA MOYO) mi matokeo ya ulaji mbovu wa vyakula. Ni desturi ya watu wengi hasa katika ulimwengu wenye pilika nyingi kukosa mda wa kupika na kuandaa vyakula vyenye kujenga afya zao na hivyo kupelekea kula vyakula vinavyopikwa kwa kukaangwa barabarani (fast food) kama vile chips na kadhalika, bali desturi hiyo ndio inayoathiri wengi kwa namna mbilli......
Je! nyanja hizo mbili ni zipi? 

1.Kwa kupata muonekano usiyoridhisha wa mwili kwa kuwa na unene uliyopitiliza.
2. Kwa kupata magonjwa ya siyo ambukiziwa kama vile  KISUKARI, PRESHA na kadhalika.
Najua utakuwa unajiuliza ni kwa namna gani chakula kinaweza kusababisha magonjwa kama kisukari na presha basi nitakueleza; endapo mtu atakula vyakula vyenye mafuta, chumvi, wanga na cholestrole kwa wingi bila ya kufanya kazi(mazoezi) basi vyakula hivyo hujikusanya mwilini na kupelekea magonjwa kujijenga mwilini. Kutokana hilo nirahisi kongosho kushindwa kutoa insulini yakutosha kuvunja sukari ya mwili na wanga ili iweze kutumika  mwilini na hapo ndipo ugonjwa wa kisukari hujitunga mwillini, na pia ni rahisi mafuta(cholestrol) kuziba mishipa ya damu na chumvi nyingi kupelekea matatizo ya presha.

Kutokana na dhamira ya KUAFIT kutaka kusaidia jamii kwa kuelimisha watu kuhusiana na Lishe, Afya na Mazoezi imetulazimu kutengeneza njia ya kunusuru afya za watu katika jamii inayotuzunguka. Tungependa kupunguza 60% ya watu wanaosumbuliwa na magonjwa yasioyoambukizwa (NCD's) mpaka kutokomeza magonjwa hayo kabisa.

Hivyo basi kutokana na dhamira yetu ya kusaidia kutokomeza magonjwa yatokanayo na kutokuwa na elimu juu ya kula imetupelekea kutengeneza course ambayo inahusiana na Diet(mpangilio wa kula) za kuondoa sumu na kupunguza mwili ambazo zipo mbili nazo ni (KUAFIT  detox Diet phase 1) na (KUAFIT  weight loss Diet phase 2) na bila kusahau elimu juu ya mazoezi yanayopaswa kufanyika  ndani ya kipindi hiko chote.

(KUAFIT  detox Diet phase 1) 

Diet hii ni ya awali ambayo itatumika kwa wiki mbili ambayo husaidia kutoa sumu kwenye mwili na pia kupunguza mafuta yasiyohitajika mwilini inahusisha vyakula vya kawaida na vinavyopatikana katika jamii yetu ya kawaida. Diet hii itakuongoza juu ya vyakula gani vinavyohitajika na kwa kiasi gani katika kipindi kizima cha wiki 2.

(KUAFIT  weight loss Diet phase 2) 

Diet hii ni ya pili na kazi ya diet hii ni kumsaidia mtu aweze kupunguza  mafuta na sukari iliyozidi mwilini na hivyo kupunguza manyama uzembe yaliyojijenga mwilini na kurudisha mwili katika hali yake ya asili. Diet hii itajumuisha maelezo juu ya vyakula vya kula ndani ya kipindi cha wiki 7.

Diet hizi mbili kwa pamoja zikitumika kuna uwezekano wa mpaka 83% kuweza kuonyesha matokea mazuri mwishoni bali pia inawezekana kutumika moja tuu bila kutumia nyingine lakini ufanisi wake utakuwa hadi 60%. Na tunashauri kwamba mtu atumie diet zote mbili akianza na diet ya (detox Diet phase 1) na kufuatiwa na (weight loss Diet phase 2) ili kupata matokeo mazuri zaidi.

Tuatoa diet zetu  zote mbili  kwa watu wenye uhitaji kwa bei tofauti ambapo 
-(KUAFIT  detox Diet phase 1)
 kwa kawaida tulikuwa tunauza [shilingi 38,000/=] bali kutokana na OFA  yenye lengo la kusaidia wengi tumepunguza bei hadi [shillingi 15,000/=]

(KUAFIT  weight loss Diet phase 2)

   kwa kawaida tulikuwa tunauza [shilingi 42,000/=] bali kutokana na OFA yenye lengo la kusaidia wengi   tumepunguza bei hadi [shillingi 15,000/=]

Ambapo endapo utanunua Diet zetu utaunganishwa kwenye Makundi yetu ya whatsaap kulingana na diet utakayonunua ambapo utaelimishwa juu ya mambo mengi na ni pamoja na Mazoezi unayopaswa kufanya kipindi chote utakapotumia diet zetu.

Kwa wale watakaotaka kupunguza miili yao kwa kutoa manayama uzembe na kujenga afya zao kwa kutumia diet zetu  mnaweza wasiliana nasi kwa numba yetu ya whatsaap (0653009477) na kutoa oda yako na kupata kwa mfumo wa document ambapo unaweza uliza maswali na kupata majibu.

Na kwa maelezo zaidi tafadhali tazama video hii
Kama umeipenda chapisho hili basi gonga NZURI  na  kwa maswali au maoni zaidi basi tuandikie baada ya andiko hili, na pia kama ungependa kusoma andiko jengine kama hili basi jisajili kwa kuweka anuani yako  kwenye linki ya SUBSCRIBE.

Pia waweza tuandikia kwa email yetu Kuafit08@gmail.com 
Kwa number yetu ya Tigo +255 653 009 477  

Instagram account yetu  (KUAFITI), Facebook-(kuafit)

About benson godfrey

benson godfrey
Recommended Posts × +

DIET YA KUTOA SUMU MWILINI NA KUPUNGUZA UNENE KWA HARAKA

Habari zenu wadau wa KUAFIT! leo tutaongelea kuhusiana na elimu ya lishe ambayo itahusiana na diet ambapo tutaelezea mambo mengi san...